mambo ya nje

  1. Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri, Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
  2. W

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  3. Kamati ya Masuala ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yatoa tamko kuhusu Masuala ya Utekaji na Utesaji wa Watu nchini Tanzania

    Kumekucha! Muda mchache uliopita Kamati ya Bunge la Senate la Marekani limetoa tamko zito la kushtushwa na hali ya kuongezeka vitendo vya utekaji na uteswaji wa watu vinayotokea Afrika Mashariki hasa nchini Tanzania. Mungu wabariki Wazungu. Waje kutusaidia kuwaondoa hawa wakoloni weusi. God...
  4. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  5. B

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
  6. PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  7. Tamko la Wizara ya Mambo ya Nje kujibu Azimio na Bunge la EU lazidi kuivua nguo Serikali. Ni bahati mbaya sana hawajui ngoma wanayocheza

    Tatizo kubwa zaidi kwa CCM na Viongozi wake wa kuokota okota, wanafikiri kwamba kwa namna walivyofanikiwa kuwafanya Watanzania wengi kuwa Wajinga basi Dunia nzima ni wajinga pia hivyo hivyo. Katika tamko lililotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu Azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya kutokana na...
  8. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  9. Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  10. PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  11. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  12. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  13. Wizara ya mambo ya nje yawasilisha mapendekezo ya maboresho ya kodi

    Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya Mambo ya Nje na wadau wake katika kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini...
  14. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  15. K

    Wizara ya mambo ya nje limejaa machawa na wapinzani wa kisiasa!

    Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi. Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa . Mkuu wa zamani wa usalama ni...
  16. Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  17. Z

    Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  18. Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  19. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  20. Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibari kuendeleza ushirikiano na Wizara ya mambo ya nje

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara nyengine za Muungano ili kuleta ufanisi mzuri wa kazi kwa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…