mama wa kambo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lucas mwashamba

    Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

    Ndugu zangu watanzania, Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa...
  2. Dkt. Gwajima D

    Kwenu Baba na Mama wa Kambo

    Salaam. Natambua kabisa wapo Mama na Baba wa Kambo ambao, wana upendo na wamekuwa watu wema kwa watoto wanaowalea wakiwemo yatima. Hakika, wanastahili Pongezi. Wapo sasa wale Baba na Mama wa Kambo ambao, daaaaah... wamekuwa mwiba kwa watoto wanao walea wakiwemo yatima. Hapa nimepokea kisa...
  3. Poor Brain

    Mama wa Kambo

    Let share something iwe kama kumbu kumbu hapo baadae (4/6/2025 Wed 3:26)... Malezi ya mama wa kambo Nimezaliwa mkoani dsm Kizuiani hospital miaka ya 90 mwoshoni. Baada ya wazazi kutengana nikachukuliwa na baba kwenda mkoani, ambako huku baba alikua bachelor yaani hakua na mke hivo kazi ya...
  4. J

    Sitamsahau yule mama wa kambo katili!

    Habarini wanajukwaa. Najua mpo salama mmepumzika na familia weekend tulivu kabisa, changamoto za hapa na pale ni kawaida na sitaki kuzijua. Basi bwana siku ya leo nimeona niwape kisa cha ukweli niliyowahi kuyapotia kwa mama wa kambo miaka ya nyuma. Nikiwa darasa la kwanza mzee alipata mchepuko...
  5. kiss ov love

    Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila...
  6. M

    Experience ya kulelewa na mama wa kambo

    Nawasalimu ninyi nyote, Mungu mkubwa nipo salama. Nipo hapa leo kuwapa experience yangu niloipata kutoka kwenye kulelewa na mama wa kambo (step mother) 1. Ukiwa na akili darasani KUSHINDA watoto wake imekula kwako utateswa mpka ujute kuzaliwa. 2. Watoto wake wakiwa vikojozi hafu wewe hukojoi...
  7. The Legacy

    Familia ya Mzee Wagagigikoko inaongozwa na Mama wa Kambo

    Enzi za Uhai wa Mzee Wagagigikoko aliongoza familia yake kwa mabavu hata mkewe hakua na Sauti yako maamuzi. Familia ilinawili lakini watoto wa jirani waliolima shamba moja na mzee huyo walikonda kwa mateso na fitna sababu mzee huyu Katili hakupola chakula pekee toka kwa jirani zake Bali alipola...
  8. Munch wa Annabelle

    Mapenzi yako kwa mkeo mpya yasimtese mtoto wako, mama wa kambo wengi makatili sana

    Natoa wito na onyo kwa wanaume wezangu, tusipelekeshwe na hisia, nyege na ujinga tusikubali na usikubali mwanao akae na mama wa kambo eti kisa tu wewe umempenda huyo mwanamke, utamponza mwanao atateseka sana na wengne hata wakiambiwa na majirani mwanao anateswa hawaelewi wanasema au wanatoa...
Back
Top Bottom