Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu binafsi licha ya kulipa kodi kwa wakati.
Je, nifanye nini katika hali kama hii, nataka kuhama?
Ila wapangaji wenzangu mna siri sana!
Kumbe mother house wetu alikwenda kumuona padri kimya kimya na hamtaki kutuambia wapangaji wenzenu!
Sasa ndiyo muelewe kauli ya mlinzi wetu pale getini anaposema LAZIMA TAARIFA YA UVAMIZI wa makazi yetu lazima Yawe katika MAANDISHI.
Kwa sababu wanajua...
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu...
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11
Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
Nawasalim kwa jina la jmt...
Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.