mama mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teslarati

    PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Mluya: Serikali yangu itakuwa na wajibu wa kuwatunza mama mjamzito na mtoto kwa kumpa lishe bora kwa muda wa miezi mitatu

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Wahuni wavamia Hospitali ya Kitengela, Kuvuruga Upasuaji wa Mama Mjamzito na Kuharibu Kituo cha Upasuaji

    Hali imezidi kuwa mbaya huko Kenya katika maandamano yanaendelea lakini pia wanaibuka wahuni na kufanya mambo yao ya hovyo sana sasa hizi ni Kelele za Umma Baada ya Wahuni Kuvamia Hospitali ya Kitengela, Kuvuruga Upasuaji wa Mama Mjamzito na Kuharibu Kituo cha Upasuaji
  4. E

    Nini chanzo cha tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito? Nini suluhisho lake?

    Habari za kazi wapendwa! Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja). Je, tatizo hili linaweza kutatuliwaje? Natanguliza shukrani!
  5. ELI COHEN

    Biashara ya mwanamke kubeba mimba kwa niaba ya mtu mwingine imeshamiri sana huko ughaibuni

    Na Mama Akishatia saini haruhusiwi hata kugusa mtoto pale atakapojifungua. Wanaita SURROGACY, ni njia ya usaidizi wa kuzaa ambapo mwanamke hubeba na kuzaa mtoto kwa ajili ya mtu mwingine au wanandoa. Kuna aina mbili kuu: Traditional Surrogacy: Mjamzito hupandikizwa manii ya baba...
  6. Wakusoma 12

    Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

    Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani? Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
  7. milele amina

    RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi. Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
  8. Equation x

    Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  9. Marcy

    Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
Back
Top Bottom