malofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania "Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

    Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana. Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"? Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  4. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Malofa kwa Papal Nuncio

    Ni takribani siku nne, kumekuwa na mjadala mzito umeibuka baada ya taarifa kuwa vijana wawili wanaodai kuandika barua ya malalamiko kwa Balozi wa Vatican (Papal Nuncio), Archbishop Angelo Accatino wakimshtaki Padre Charles Kitima. Tukio hili limeibua maswali makubwa si tu juu ya madai yenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…