maliasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa Wito kwa EAC Kuimarisha Ushirikiano katika Ulinzi na Usimamizi wa Maliasili

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na maliasili, ikisisitiza umuhimu wa jitihada za pamoja katika kukabiliana na changamoto zinazoendelea...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujaribu kuwahonga Madini na Maliasili. Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yazidi kumkalia kooni Samia

    Juzi bibi wa Kizanzibari baada ya kuonana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini alitoa press ya Ikulu kujaribu kuwatongoza Marekani kuwa atawapa madini ili wamkalie kimya kuhusu mauaji aliyofanya kwa Watanganyika. Leo Kamati ya Bunge la Senate la Marekani wamezidi kupiga kichwani. Wamezidi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Ashatu Kijaji akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kupokelewa na Menejimenti na watumishi wa Wizara hiyo baada ya uapisho wake tarehe 18, Novemba 2025.
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  7. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii: Mnacash-in Billions lakini Ground ni Gheto – Kilimanjaro Ni Kama Survival Game

    Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima Kilimanjaro, vibarua wabeba mizigo wanateseka kama wapo kwenye jungle ya kufa na kupona; maji...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Maliasili mfumo wa maombi ya Vyuo una shida gani?

    Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo. Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo! Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti...
  11. JamiiForums Tanzania Maofisa wa Maliasili Kibiti Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake kupoteza ushahidi, DC aagiza uchunguzi

    Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika. Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameagiza wahusika wawekwe ndani na wananchi wawe watulivu wakati suala hilo likifanyiwa kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya maliasili yataja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

    Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care. Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata? Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu. Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Sababu za Tanzania Kuendelea Kuagiza Bidhaa Nje Licha ya Kuwa na Utajiri wa Maliasili na Rasilimali Nyingi

    Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina viwanda vya kutosha vya kuzalisha bidhaa za mwisho. Licha ya kuwa na madini mengi ya chuma kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
  16. JamiiForums Tanzania Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Maliasili na Utalii Yapongezwa kwa Kutafsiri Maono ya Rais Samia

    Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza sekta ya utalii kwa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi za wizara ikiwemo Mamlaka ya usimamizi wa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je maliasili imebadili Sheria faini za pikipiki?

    Habari zenu ndg jamaa, naomba kuuliza kama Kuna mwenye kujua, nilikua najishughulisha na biashara ya kubeba mkaa hapa mkoan Dodoma katika mihangaiko yangu mwaka Jana mwezi wa na Nne tulikamatwa na maliasili Mimi na mwenzangu tulikua wawili. Mwenzangu pikipik ili kua mpya hata week hajamaliza...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…