malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  2. JamiiForums Tanzania Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

    Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa. KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo. Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
  3. JamiiForums Tanzania Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6 Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni. Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…