malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

    Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

    Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo. Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa. Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana. The...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  5. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?

    Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao. Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu. Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
  6. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

    Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa. KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo. Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
  8. Crimea

    JamiiForums Tanzania Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6 Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni. Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa...
Back
Top Bottom