makosa ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? Kwanini ukihoji Serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi?

    Naibu Waziri Mkuu katika Baraza Kivuli la Mawaziri la Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amehoji kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? kwanini ukihoji serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi? Wakati akiongea na waandishi wa habari August 9 Mpina amesema kuwa, "Sasa huku nchi nzima...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha chama kuongozwa na mtu ambaye yupo gerezani kwa makosa ya uhaini ni dhahiri kwamba ubongo wa Mwafrika bado upo analogy

    Miaka ya 70's huko viongozi wa Africa walikuwa wakishashinda uchaguzi wanahamia Ulaya kula Bata huku wakiacha nchi zao zikiongozwa na vivuri vyao tu, Ni kitendo cha aibu kiongozi mhaini kuendelea kuwa madarakani ili hali yupo gerezani tena KWA makosa ya uhaini hii ni ishara kuwa Mwafrika bado...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Ni Africa tu ambapo mwenyekiti wa Chama yupo gerezani kwa makosa ya uhaini lakini bado anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hii ni aibUu

    Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu? Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini...
  4. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengine 10 Sumbawanga wapindishwa kizimbani kwa makosa ya uhaini, Idadi yafikia watu 330 nchi nzima

    Watu 10 wakazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sumbawanga kwa kosa la uhaini na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, makosa ambayo wanatuhumiwa kuyafanya kati ya mwezi Machi mpaka Oktoba 30, 2025. Akisoma mashitaka hayo, Wakili wa serikali David Mwakibolwa...
Back
Top Bottom