Assalam alaikum
Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa.
Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Hakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu utajulikana tu
==================
"Usiku huo huo majira ya saa tano, kanisa lilivamiwa na magari ya...
Nimepita maeneo ya Ubungo nikiwa naelekea kwenye harakati zangu, naona Polisi wamejaa kanisani kwa Gwajima baada ya yeye kutangaza atashiriki ibada ya Jumapili ya leo.
Wengi wapo barabarani wanafunga utepe. Kwakuwa speed ya gari ilikuwa kubwa sijafanikiwa kuchukua picha ya haraka.
Pia...
askari
askari polisi
dar
dar es salaam
gwajima
josephat gwajima
kanisa
kanisa gwajima
kanisa gwajima lafungwa
kanisa la askofu gwajimamakanisayagwajima
mkali
polisi
ubungo
ufufuo na uzima
ulinzi
ulinzi mkali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.