makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Makamu wa Rais Benki ya Dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  2. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Makamu wa Rais halali

    Hakuna sababu mtu ashambuliwe kwa kumtetea Nchimbi. The question of the 2030 elections does not arise. Uchaguzi huo wakati wake bado. Tunasema kwamba sasa hivi Nchimbi ndio Makamu wa Rais. Yule mtu ameshambuliwa bila sababu. Ukisema Nchimbi hafai kuwa Makamu wa Rais unaleta tatizo mahali...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Liberia: Aliyekuwa Makamu wa Rais atuhumiwa kwa utakatishaji fedha na usafirishaji wa madawa ya kulevya

    Liberia imemfungulia mashtaka aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Jewel Howard-Taylor, kwa tuhuma za usafirishaji wa dawa za kulevya, utakatishaji fedha na makosa mengine, ikiwa ni sehemu ya uchunguzi kuhusu mtandao wa kimataifa wa biashara ya dawa za kulevya, Wizara ya Sheria ilisema...
  4. JamiiForums Tanzania Kenani: Hakuna taarifa rasmi ya kuitwa Makamu wa Rais Nchimbi kwenye Kamati ya Maadili ya CCM — Akiitwa, mtajua

    Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM Ndani ya chama cha mapinduzi sisi CCM hatutambuani kwa vyeo tunatambuana kwa wanachama." "Ili uweze kuwa kada wa chama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

    Wakuu kama mnavyoona picha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  7. JamiiForums Tanzania Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

    My friends ladies and gentlemen, Sasa ni wazi, upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Taifa, ni vizuri kuanza kumzoea Nchimbi kama Rais wa Tanzania baada ya Samia kumaliza ngwe yake ya pili 2030

    Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri kwenye nafasi yake, na anautendea haki wajibu na jukumu lake la kikatiba katika kumsaidia Rais Dr.Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Spika waliondolewa na sasa Makamu wa Rais yupo njiani ?

    Heshima sana wanajamvi Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT. Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba. Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya...
  11. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  12. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi afungua Mkutano wa Kimataifa SNOSSA 2026

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kuwekeza zaidi katika huduma za matibabu ya Saratani katika Mfumo wa Fahamu (neuro-oncology) na kuimarisha mfumo wa afya kwa ujumla...
  13. JamiiForums Tanzania Kisa cha makamu wa rais wa zamani wa Zambia, Dr Guy Scott kutundika barua ya kufukuzwa kazi kwenye choo cha wageni nyumbani kwake

    Hiki ni kisa cha kushangaza kilichosimuliwa na mwandishi Amos Malupenga alipokuwa akimhoji Guy Scott kuhusu maisha yake. Miongoni mwa mambo mengine, alieleza jinsi alivyofukuzwa isivyo haki kama waziri wa kilimo na Rais wa wakati huo Frederick Chiluba mwaka 1993. Kwa sababu hakuona umuhimu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaweza kuondolewa Madarakani na Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 50(3) ya Katiba

    Makamu wa Rais wa Tanzania anaweza kuondolewa madarakani na Bunge endapo atapatikana ametenda makosa yanayokiuka masharti yaliyoainishwa katika Katiba, kwa mujibu wa Ibara ya 50(3). Kwa mujibu wa ibara hiyo, Bunge lina mamlaka ya kumwondoa Makamu wa Rais madarakani kwa sababu zinazofanana na...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais alipaswa kuwepo uwanjani kumuaga Rais anapokwenda nje ya nchi

    Ni kawaida tena ni protokali kwa makamu wa rais kuwepo uwanjani kumwaga rais anapokuwa anasafiri kwenda nje ya nchi kwani hapo ndipo tendo la kukaimishana madaraka hufanyika. Lakini hilo halikutokea kwani makamu wa rais hakufika uwanjani. Nani amekaimishwa? Pia tunaona mbunge mmoja kutoka Pemba...
  16. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Nchimbi ningejiuzulu kwa kuitwa Yuda

    Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea Mzee wangu Nchimbi huna hasira? Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza, Makamu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  18. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Mazungumzo hayo yaliyofanyika tarehe 15 Aprili 2026...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Biya amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

    Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi. Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais.Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika. Yajayo yanaweza kufaurahisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…