Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M Malecela, aliyekubali kufuata ya Mwinyi, kwa Matamanio ya kurithi kiti, Chama kumpotezea, na Horace...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hakina chuki wala kısası na mtu bali kinaamini kutekeleza sera ya maridhiano.
Wasira ametoa kauli hiyo jana akiwa katika mkutano wa hadhara alipokuwa akizungumza na wana CCM wilayani Urambo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu.
Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM...
Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu.
Amesema kuanzia Machi 20, 2025 mawaziri wawili akiwemo Waziri wa fedha, Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Maji...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe.
Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo...
Wakuu,
CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri.
Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden akapigwa katafunua moja na Trump, political career ya Biden ikaishia hapo!
Sijui nilitaka niseme...
Wakuu,
Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?
Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.
========================================
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
Wakuu,
Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya.
Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa huru na wa haki?
Shotocan Lucas Mwashambwa naomba msaada kwenye swali langu...
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia...
Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu.
Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni tena watu Konki wakitoka nje kuongea na Wanachama.
Hoja zote za uchumi, siasa, afya, michezo na sanaa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira amesema Uchaguzi Mkuu ujao (2025) utafanyika kama utakavyopangwa na Tume Huru ya Uchaguzi nchini (INEC).
Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia wafuasi wa chama hicho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo...
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na Cheo alichopewa.
Kuna haja ya kumuelimisha ikiwa bado ubongo wake unaweza kutunza kumbukumbu, maana...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kuwa CCM imefanya juhudi kubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu kwa wanawake wa Tanzania.
Akizungumza wakati wa Kongamano la Wanawake lilioandaliwa na Jumuiya ya Wanawake ya CCM (UWT) mjini Dodoma, Wasira...
Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu.
Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza...
LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita .
Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani )
Tukiwapa Urais Amani itapotea.
Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote.
Hao ni vibaka na walopokaji .
Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
Wakuu,
CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa.
Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho.
Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.