Waziri wa Viwanda hatusikii akienda kuzindua viwanda vya kujenga uchumi wa kweli anakwenda kufungua kampuni ya kucheza kamari kwa kigezo kwamba inachangia kodi ina maana mmekosa mbinu nyingine kabisa za kupata kodi mpaka muhalalishe kamari kwa namna hio.
Sisemi kwamba kamari izuiwe kabisa...
Ninatoa ushuhuda wangu binafsi pamoja na wa watu wengine ninaowafaham yaan wanangu sana kuhusu vitendo vinavyofanywa na baadhi ya kampuni za ubashiri, hasa Parimatch Tanzania, ambavyo vinaonyesha wazi dalili za udanganyifu kwa wateja.
Sisi ni waathirika wa moja kwa moja. Tumeshuhudia na kupitia...
Makampuni ya kubeti yanatuma meseji hadi imeshakuwa kero sasa.
Mtu hata haujajisajili huduma yao yoyote lakini unashangaa unatumiwa mameseji tele ya mfululizo tena kila siku.
Lakini cha kujiuliza ni je wanawezaje kupata namba ya simu ya mtu mmojammoja?
Hapa jibu lenye mantiki ni moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.