Google map wamekwisha update Picha zao za satellites
Hizi ni picha mbili za eneo moja ndani ya miezi kadhaa, Picha ya upande wa kushoto ni ramani mpya.
Hili eneo la chini ni eneo katika msitu wa Tazara.
Kama uliwahikusikia sehmu kuna makaburi ya halaiki ukiingia google utaona disturbed soil...
#D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutampelekea samia ikulu.
#D9 ni wakati sahihi na tukiwa wengi sana kufukua pale kondo
Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo.
"Dada...
Nilitegemea anayejiita Msemaji Mkuu wa Serikali na mtoa ufafanuzi mkuu Bwana Gerson Msigwa leo angebeba waandishi kwenda Makaburi ya Kondo kuwaaibisha CNN kwa uongo, kaishia kutemea mate maiki bila ushahidi wowote.
Nilitegemea aseme sasa ndugu zangu, CNN si wamesema kuna makaburi ya halaiki...
Nimezoom kwa kutumia google map hainipi real on time action.
Labda kuna kitu hapa Dodoma kinazuia ila kuna nyie mliopo Daresalama huko ununio mtupe taarifa kama zipo.
Jana kuna jamaa alisema tumieni drones kuzoom matukio, vipi mmeshindwa?.
Nasubiri kifuatacho.
Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kijana wenu napatwa na mashaka sana na Hawa wasomi wetu wanaoajiriwa na hiki chombo Cha ulinzi na usala wa raia na mali zao. Tukumbuke ya kwamba hili jeshi Lina wasomi wa taaluma MBALIMBALI na katika ngazi mbalimbali za kielimu.
Hainiingii akilini kwa...
Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.