majini

  1. JamiiForums Tanzania Majini mahaba yananinyima raha, nifanyeje?

    Habari zenu jamani, Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

    LEO nawafundisha njia fupi ya kumwita JINI mpole Kisha mwambie haja zako. nunua aina ya taa Za chemli mbili weka utambi wa Sanda iwe kama tambi kila chemli weka mafuta ya taa kipimo cha vikombe vya kahawa kila chemli weka vikombe saba saba Kisha ktk kila tundu LA chemli weke mchanga wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kuu mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa. Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo...
  4. JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Salaam wakuu wangu! It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada! STRAIGHT TO THE TOPIC: Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa: 1) Asilimia kubwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…