maji taka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa

    Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi? Mamlaka husika zichukue hatua.
Back
Top Bottom