maji safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  2. Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  3. Tusikusanye tu tozo, tufikirie pia jinsi ya kuwaboreshea maisha hasa makazi na maji safi na salama.

  4. Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

    Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani. Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…