Jamii Forums naomba msaada kwenu.
Nipo kata ya Mlandizi, Kitongoji cha Msufini, Mtaa wa Kilimanjaro. Kuna changamoto ya Uhaba wa maji kutoka, huu ni mwezi wa pili sasa. Wakati wa Mchana huwa yanatoka kwa masaa si zaidi ya 8 na saa 12 jioni yanafungwa - kuna baadhi ya siku yanafunguliwa mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.