Ni zaidi ya wiki mbili Sasa wakazi wa Utemini, Maendeleo, Relini na Maduka Matatu hatuna maji na hakuna taarifa yeyote kutoka MWAUWASA wanatutesa na bili zinakuja kawaida.
Katibu wa wizara ya maji yuko Mwanza sijui kama anafahamu juu ya hili tatizo..Wanawake na Watoto wanateseka na uhaba huu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.