Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha.
Katika mazungumzo hayo, Makalla ameonyesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea...