maisha ya watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  2. Just Pray

    GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  3. Tauceti Rigel

    Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  4. M

    Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  5. Lady Whistledown

    Kesho Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 inasomwa Bungeni; Je, itagusa maisha ya Watanzania au tutaletewa tozo mpya?

    Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa. Hii inafuatia kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

    Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  7. DR Mambo Jambo

    Ushauri & mapendekezo: Ili kuboresha uchumi wa nchi kuongeza ajira kwa vijana, ufanisi na kuboresha maisha ya watanzania serikali ifanye haya

    Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na mapendekezo kwa serikali Ambao kwangu Nimeona Unafaa na Nitakuwa naweza na Fedha kwa Makadirio ya Chini...
  8. chinatown

    Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
Back
Top Bottom