Uwezo wa watu wanaoongoza nchi unajulikana na uharibifu waliofanya kwa taifa upo wazi.
Sasa either wahusika wenye uchungu na nchi waingie kati au tukubali matokeo ya katiba iliyowapa mamlaka ya kuharibu nchi.
Kwanini watoto wa watu waumizwe kwanza, kama tumekubali majizi na civil servants...
Miaka 18, umemaliza kidato cha sita. Umebeba ndoto zako zote mgongoni kama mzigo mwepesi, macho yako yanang’aa kwa matumaini. Unajiambia, “Nikimaliza chuo nitayabadilisha maisha ya familia yangu.” Miaka 22, degree mkononi, lakini huna pa kwenda.
Dunia haijakukaribisha kama ulivyotarajia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.