maisha halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OLS

    Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Video: GEREZA KUU,Butimba MWANZA. Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala

    GEREZA KUU,Butimba MWANZA. Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala, Tukidai reforms wanatupiga risasi na kuwauwa ndugu zetu, Wanao watumia hawaishi kwenye nyumba kama hizi Tunawakumbusha tu kuna maisha baada ya kazi.
  3. Rorscharch

    Mlee Mtoto Wako Aweze Kuishi Maisha na Siyo Kuyafahamu Tu, Maana Akiyafahamu Kabla Hayajayaishi Atashindwa Kuyafurahia

    Kuna wazazi wengi wanafikiria kuwa kazi yao kubwa ni kuhakikisha mtoto anapata akili sana. Anapata elimu nzuri, anasoma vitabu vingi, anajua mambo mengi. Hili si kosa. Lakini kuna jambo moja kubwa ambalo wengi wanasahau: Yaani, unamjaza mtoto maarifa, unamwambia maisha ni hivi na vile...
  4. M

    Baada ya Dar,Mwanza Mbeya ni namba tatu kwenye fursa za uchumi

    naifahamu Tanzania nzima kwa kufika maeneo mengi na kufanya biashara, Nimendesha Lori karibu kila sehemu ya nchi hii nimefika , na Mimi ukitoa mengine yote ninaposafiri huwa nasoma fursa za kiuchumi za maeneo husika. Hili limenifanya nijifunze hili ukitoa jiji La Dar, na mwanza ambayo yana...
  5. Tauceti Rigel

    Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  6. ufalmedigital

    “Masomo ya Chuo vs. Maisha Halisi – Ukweli Mzito Uliofichwa kwa Wahitimu”

    "Umewahi kujiuliza kwa nini wahitimu wengi wana maisha magumu hata baada ya miaka minne chuoni? Je, elimu tunayopata inaendana na uhalisia wa maisha? Nimeandika makala inayoeleza wazi pengo hili – na jinsi ya kulitatua." Katika makala hii nimeeleza tabia 7 ambazo wengi wetu tunazo, lakini...
  7. A.MTALE

    Kisa katika sehemu ya maisha halisi

    Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?. Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja. Kisa katika moja ya maisha halisi ya A.Mtale. Wakati nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza huko Dodoma niliajiriwa na shirika moja...
  8. Lexus SUV

    Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  9. Lanlady

    Mitazamo hasi ya wanajamii mtandaoni na katika maisha halisi, huwasababisha wengine kutokuwa wakweli

    Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
  10. G

    Wazazi mnaolinda sana watoto kupitiliza, mnawaandaaje kukabiliana na maisha halisi ya hapa Bongo?

    Watoto wana haki ya kudeka na kufaidi matunda ya wazazi lakini ni muhimu pia wao wajifunze kuwajenga uwezo wa kujisimamia bila backup ya mzazi. Kwa maisha ya kiuhalisia ya hapa bongo lolote laweza tokea ila angalau mtu ajue kujifulia nguo, kuweza kutumia usafiri wa umma, kuweza kula vyakula...
  11. Mende mdudu

    Ujasusi katika maisha halisi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mpenda kufatilia makala riwaya na majalida mbalimbali ya kijasusi sijawai hata kupitia mafunzo ya mgambo ila elimu ya ujasusi niliyo nayo huwezi ipata shule nina degree ila sijawai pata elimu ii toka nianze kusoma ila ndo inanisaidia katika...
  12. LIKUD

    Ya Mohamed Mwameja na ubora wa Shule za Kayumba katika kuwaandaa watoto na maisha halisi

    Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania. Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa hali ya juu alio kuwa nao langoni. Majibu ya Mwameja: "Nilikuwa nafanya mazoezi magumu kuliko mechi...
Back
Top Bottom