mahusiano kabla ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    Nimeachana na yule manzi wa mbagala nilipopata muwasho mkali mgongoni. Nimempata huyu wa goba, aisee ni msafi.

    Niliwahi kuja na uzi kuomba msaada wa dawa ya muwasho mkali mgongoni. https://www.jamiiforums.com/threads/jana-nimelala-geto-kwa-demu-wangu-huko-mbagala-leo-nimeamka-hivi-nisaidieni-kujua-hii-ni-condition-gani.2338981/ Hongera sana amina ingawa unanificha ficha kazi unayofanya.
  2. Mwl Never Better

    Kukaa na msichana kwenye mahusiano zaidi ya miaka 3 bila kushiriki tendo ni sawa?

    Kuna brother ana mpenzi lakini hajawahi kulala NAE ni mwaka wa nne sasa wako kwenye mahusiano. Je wewe una mshauri Nini? Au je! Ni vizuri kulala/kujamiana Kabla hajamuoa mschana huyo? Toa mawazo kulingana na mtazamo wako
  3. Nikola24

    Mawazo ya ngono yananisumbua sana. Soma stori yangu

    Mimi ni kijana wa miaka 27 na siku kadhaa. Ni member wa team KATAA NDOA. Sina mahusiano ya kimapenzi na demu yeyote.Na focus zaidi kwenye shughuli zangu za kimaisha rather than girls. Sasa Nina hili tatizo kichwani. Kila wakati mawazo ya fantansty sex yananijia.Mara nawaza nafanya mapenzi na...
  4. W

    Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  5. W

    Ni kitu gani cha kijinga umewahi kufanya in the name of love?

    Niliwahi kumkopesha kijana hela tufanye biashara ya duka la bidhaa za nafaka. Makubaliano ni kila mtu achange milioni 1.5 alafu faida tutakuwa tunagawana huku akiirudisha ile pesa yangu kidogokidogo. Kipindi hicho niko chuo nikatuma millioni kwanza ilikuwa ni ada. Mimi niko chuo Dar yeye yuko...
  6. Magical power

    Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

    Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana. Apo kwanza ngoja nicheke. Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na...
  7. Meta AI

    Nimevamiwa nyumbani kwangu na mwanamke niliyempa mimba. Nifanyeje?

    Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha. Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja...
  8. LIKUD

    Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

    Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba. Watoto wa tisini tu...
  9. dorge

    Tuwe na Mungu wakati wote. Hawa wanawake watatuua mapema

    Tuwe na mungu
  10. Kinjekitile Jr

    Ushauri: Amejifungua lakini hataki niwaone watoto wangu. Nimshtaki?

    Wakuu Salaam!!!!! Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana...
Back
Top Bottom