mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lisu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu? Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI. Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya. Amri zote walizotoa hakuna...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama Tume ya yule Jaji kuhusu yale mauaji ya mwaka jana ilikuja na yale matokeo, mnashangaa nini yanaendelea mahakamani?

    Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu. Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka. Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Bora Lissu kunyongwa kuliko Samia kukanyaga Mahakamani.

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu

    Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa. Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi. Rais Mstaafu Tanzania Benjamin William Mkapa alifika mbele ya mahakama akiwa ni shahidi wa kwanza upande wa utetezi katika mashataka...
  7. JamiiForums Tanzania Kisheria itakuwaje ikiwa ndugu Samia, Mpango, Majaliwa na wenzao watagoma kufika mahakamani

    Wanasheria naomba elimu kidogo Lissu amewataja ndugu Samia, Philip Mpango, Cassim Majaliwa na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wawe mashahidi wa kesi yake ya uhaini Najiuliza hawa watu wataheshimu mahakama na kufika kutoa ushahidi? Bila shaka watakaidi na mahakama yetu haina cha kuwafanya
  8. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

    Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, hatua hii ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani?

    Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga. Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

    Hamjambo! Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu. Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia...
  12. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

    Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ? Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani? Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
  13. JamiiForums Tanzania Siku tano zimepita tangu Nabii Tito akamatwe, lakini hadi leo hajapandishwa mahakamani.

    Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote. Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
  14. JamiiForums Tanzania Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

    Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi. Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Wanasheria Tuu, Mtu Akihitajika Mahakamani Kutoa Ushahidi, Anaweza Kukataa?

    Wanasheria na Mawakili Wasomi Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria. 1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda? Na akigoma kwenda kuna kosa.? Au akitoa sababu labda ni mgonjwa au sababu nyingine yoyote, kesi itasimama kumsubiri au itaendelea? 2. Na je huyo mtu akiwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Nashangaa kuona watu wanakamatwa na polisi, wanapelekwa mahakamani kwa shitaka ya ugaidi

    Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali. Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
  17. JamiiForums Tanzania Rwanda wamewafikisha Mahakamani walioruhusu pombe haramu, je Tz tunasubiri nini?

    Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango. Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10...
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 13, 2026 Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -; Part 237 Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza. Wanaingia Mawakili wa Serikali, Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari Kiambu afikishwa Mahakamani kwa kifo cha Mke wake

    KIAMBU: Daktari wa upasuaji katika Hospitali ya Level 5 Kiambu, Dr. Dennis Masoba Nyambane, 36, amezuiliwa kwa siku saba baada ya kufikishwa mahakamani Agosti 10, 2026, akihusishwa na kifo cha mke wake mwenye umri wa miaka 30, Mary Mwende Mutie. Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…