mahakama tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Naona Ukakasi kusema Mahakama Tanzania, tuiite jina gani, maana hakuna Mahakama in the real sense of what a Mahakama should be!

    Naona kuna ukakasi kutumia neno ‘Mahakama ya Tanzania’—ni sahihi kuitaje vipi kwa mtindo rasmi wa kisheria?” MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama wanavyowatumia GREEN GURD na UVCCM ROSTAM alisema .. Huezi kua na CHOMBO kikubwa Ki KATIBA kama...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

    Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

    Waione Kiranga na Nyani Ngabu 🤭
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lisu jana 13.10.2025: Msifurahie Mahakama kutupa pingamizi la serikali. Bado hakuna mahakama Tanzania

    Tuweke rekodi sawa, shouldn't be overjoyed by this simple drama! Hakuna Mahakama hapa ni drama! Nguzo za Mahakama huru hakuna. Hakuna Bold Judges, ni Shyster Judges! Simple as such! Hakuna Mahakama
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Hatuna Mahakama Tanzania. Kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Hii picha ukiiangalia kwa kawaida unaweza fikiri ni kikatuni na kawaida tu. Ila ukweli halisi ni kwamba hii picha ni kielelezo tosha juu ya Mhimili gani wa Mahakama tulionao Tanzania sasa. Ni kielelezo tosha kuwa Mahakama ya Tanzania kwa sasa sio tena chombo cha kutoa haki bali ni chombo cha...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

    Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi. Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

    Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

    Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Wakati Marekani ina idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…