magomeni kota

  1. MamaSamia2025

    Nini kifanyike kunusuru huu mradi wa Magomeni Kota?

    Nimesikitishwa na hii habari ya gazeti la the citizen kuhusu maghorofa ya Magomeni Kota. Lawama wametupiwa zaidi wapangaji kwa kushindwa kutunza mazingira ya hilo eneo zikiwemo majengo. Pia wamekuwa wakikaidi kulipa gharama za usafi na zingine za kuhakikisha mradi unakuwa sawa. Wewe una maoni...
  2. Inside10

    Kota Moja yaungua Moto magomeni

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto. Updates. Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba 0526B ndiyo sehemu ya ghofofa lililowaka moto Magomeni Kota jijini Dar Es Salaam. Apartment hiyo ipo...
  3. benzemah

    Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  4. Crucifix

    Magomeni Kota - TBA fungulieni njia mbadala wakati huu wa ujenzi wa barabara

    Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku. Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
  5. peno hasegawa

    Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  6. hp4510

    Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
  7. kavulata

    Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  8. Magazetini

    Rais Samia aridhia kuuza nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu ya mpangaji mnunuzi, watarejesha gharama za ujenzi bila ardhi

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia kuuziwa wananchi nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu wa mpangaji mnunuzi kwa kurejesha gharama za ujenzi pekee bila gharama za ardhi. Rais Samia kasema wakitoza ardhi wahusika watashindwa kuzinunua. Pia Rais amesema...
  9. B

    Rais Samia azindua nyumba 644 za makazi Magomeni Kota, akubali ombi la kupangisha kwa utaratibu wa Mpangaji Mnunuzi

    Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii. Utafuatilia Matangazo haya ya moja kwa moja kupitia Televisheni, Radio na Mitandao ya Kijamii. #TunaImaninaSamia...
  10. S

    Rais Samia kuzindua Magomeni Quarters Tarehe 23/03/2022

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam. Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki. Ujenzi wa majengo ya...
  11. U

    Ujenzi Unakamilika Magomeni Kota

    Pongezi Serikali Ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli Kwa Kutoa Tsh Bilioni 9 kugharamia Ujenzi huo
  12. K

    Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

    ZIKIWA zimepita siku 20 tangu Rais John Magufuli atoe ahadi ya ujenzi wa nyumba za kisasa katika eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam, Wakala wa Majengo nchini (TBA) umesema unatarajia kuanza ujenzi huo rasmi Septemba 29 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini humo...
Back
Top Bottom