magogoni

Magogoni Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu yeyote wa kikosi cha Dodoma ashike Ikulu cha Chamwino. Kwa Dar es Salaam ashike Magogoni. Tumeshashinda

    Imeisha Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dodoma tunaomba mji organise mshike ikulu ya Chamwino Kwa Wakuu wa Vikosi vya JWTZ Dar tunaomba mshike Ikulu ya Magogoni Wengine washike Benki Kuu, wengine TBC. Airport tayari zipo chini ya Jeshi. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JWTZ
  2. Magufuli hakuwa mkamilifu lakini sasa naanza elewa kuwa kuna hujuma nyingi zilifanywa dhidi yake

    Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle. Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na akasema ilibidi Magufuli ahamie Dodoma kabla Ikulu haijakamilika ili akae apate utulivu wa nafsi na...
  3. House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa fukwe ya Kigamboni

    One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni -It has six bedrooms all en-suite, sitting room, dining room, kitchen, store and public toilet. -There is a lift and Swimming pool - Servant Quarter with one bedroom, sitting room and public toilet -Plot size Sqmtrs 1,960 -Document...
  4. Kivuko Cha Magogoni Feri

    Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry, Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali. Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa...
  5. Undersea/underwater tunnel year 2030 (Kigamboni - Magogoni). Is it possible?

    Morocco 🇲🇦 na Uhispania 🇪🇸 zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili. Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya...
  6. Majengo ya kusubiria abiria Ferry Magogoni na Ferry Kigamboni ni kama jela/mahabusu

    Inasikitisha sana majengo yetu ya ferry za Magogoni na Kigamboni kuwa kama mahabusu. Ndani mnalundikwa utadhani mbuzi wako Vingunguti wanasubiri kuchinjwa. Hamna viburudisho wala miundombinu rafiki. Serikali heshimuni afya na haki za wateja wa vivuko vyenu, wanahitaji mazingira mazuri na...
  7. M

    KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  8. Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  9. Huduma za Uvushaji wa MV Kigamboni zasitishwa

    KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
  10. Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

    Hii 👇 ni tukio la Leo 📍Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika IkuluJijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024. 📸:O/Makamu wa...
  11. R

    Matumizi ya Ikulu mbili (Magogoni na Dodoma) siyo chanzo cha kutumia trilioni 33 kama OC huku 15Trln zikiwa za maendeleo?

    Mama Samia kwa vitendo hakubalini na Ikulu ya Chamwino. Kinadharia kwa mtu aliyewahi kukaa Dodoma siyo sehemu yakukaa ukafanya kazi za kuumiza kichwa kama kuongoza nchi. Hali ya hewa ya Dodoma ni nzito sana na usipokinbia kimbia kwenda mikoani lazima utababuka ngozi na kuondoa kunawiri. Ni mji...
  12. Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…