Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.
Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%.
Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo...
Kama kweli wanaharakati wanaitakia mema Tanzania basi hii ingekuwa agenda yao ya msingi sana kuanzia ili kuleta mapinduzi ya kweli mchini.
Wangeandamana magari ya kifahari ya serikali yauzwe na maslahi ya viongozi na wanasiasa yapunguzwe ili kuleta usawa na unafuu kwa wote.
Hayo mengine...
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema
Source: EATV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.