magari binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
  2. JamiiForums Tanzania Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

    Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu. Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
  3. JamiiForums Tanzania Watu wa magari binafsi jijini Dar amkeni mapema. Mnakera sana mida ya asubuhi

    Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie mnaotokea mjini hamna haki ya kutumia barabara. Si muwe mnaamka mapema!? Mnakera kinoma!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…