Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂
Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya...