mafundi ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Kuna cha kujifunza hapa mafundi ujenzi

    Mafundi ujenzi wanahitaji kuwa na ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na mbinu za ubunifu za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu taaluma yao inahusiana moja kwa moja na usalama wa majengo, madaraja na mifumo mikubwa ya jamii. Elimu ya darasani pekee haitoshi; mafundi wanapaswa kujua kutumia vifaa...
  2. MaduhuJ

    Nipo Dodoma, nauza mbao kwa bei nafuu

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (12Ft) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  3. MaduhuJ

    Nauza Mbao kwa bei rahisi ndani ya Dodoma

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  4. Bwashee Machui

    Karibu SHEBWA MASONRY CONTRACTION ujipatie mafundi ujenzi wenye viwango stahiki vya ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  5. Bwashee Machui

    Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  6. Braza Kede

    Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

    Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi Ni kama mafundi wameelemewa Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko Haya sasa wew fundi mjenzi Fundi rangi Fundi bomba...
  7. Bwashee Machui

    Karibu Shebwa Masonry Contraction, Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye...
  8. Bwashee Machui

    Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  9. ITR

    Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
  10. FRANCIS DA DON

    Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  11. Mr Why

    Nilikabidhi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika ndani

    Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?
Back
Top Bottom