Niaje niaje jombaa..........natumaini mko poa mkiendelea na majukumu.........shida yangu ni kufahamishwa kama mtu alishawahi kupitia kitu kama hiki......nimepoteza kidole gumba cha mkono kwenye majukumu ya kazi ofisini........stahiki zangu ni zipi?? Naomba kufahamishwa tafadhali kwa mwenye...
Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5
Mwaka huu mwezi wa 6 mkataba umeisha na nikaamua kufungua madai nssf na kukamilisha mchakato wote na kutia...
Naomba kufahamishwa na anefahamu taratibu za kupata mafao ya kuachishwa kazi NSSF
Nina mwaka mmoja Nimeachishwa kazi,
Mwezi wa tano mwaka huu nilifuatilia mafao yangua nssf na baada ya mwezi mmoja Walinilipa nusu ya ela yangu.
Sasa ni miezi miwili imepita bila kupewa chochote, nimejaribu...
Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma PSSSF, baada ya kulipwa shilingi Elfu sita tangu alipostafu mwaka 2020...
Nilifukuzwa kazi mwezi wa 3, mwajiri Wangu alinipa Kila documents,nikafatilia mafao ya kukosa ajira NSSF, baada ya usumbufu wa hapa na pale nilkamilisha mchakato na kuambiwa ntapokea sms ya muamala ndani ya mwezi.
Baada ya kama siku 25,bila kuona muamala nilifatilia tena, mtumishi mmoja mama...
Habari za asubuhi ndugu zangu mimi nachangamoto moja niliandikisha madai ya mafao yangu nssf yanaonesha yameshalipwa siku ya tatu leo lakini bado sioni amaunt kusoma kwenye akaunti yangu ya benki, shida inawezakuwa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.