Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma.
Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye uwezo wakutafuta kuanzia milion 500 mwenyewe nimtu wa kuheshimu sana . Tupeni mawazo niasisi tupatepo
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni muweza, amenifanya kiumbe kipya najisikia faraja na furaha baada ya kuirejea na kuitimiza ibada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.