maendeleo ya tanzania

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a center-right political party in Tanzania.Chadema is second-largest political party in the National Assembly of Tanzania and campaigns largely on an anti-corruption platform.

View More On Wikipedia.org
  1. Uchumi wa ‘Machinga’ na Mama Lishe: Muhimili Usioonekana wa Maendeleo ya Tanzania

    Unapokatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mwanjelwa jijini Mbeya, au soko la Nyakato jijini Mwanza, zile sauti za wafanyabiashara wadogo na harufu ya vyakula vya mama lishe zinazotawalaga kwa mbali, unaweza kudhani ni shughuli za kawaida za kujitafutia riziki, lakini ripoti mpya kutoka...
  2. GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  3. Ninasema na nitasema daima, Mchawi wa Maendeleo ya Tanzania ni Serikali ya CCM, Mwenendo wa Shauri la Tundu Lissu unathibitisha haya

    Uhuru wa mfumo wa haki ni moja ya kigezo muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile. Ukipima kwenye mzani, mataifa yaliyo na mfumo huru wa haki yameonesha kuwa na maendeleo ya uhakika yasiyotetereka miaka na miaka. India, Brazil, Korea Kusini, Sweden, Norway, Finland, Marekani, Uingereza...
  4. Dokezo: Nafasi ya Mbunge na Diwani katika Maendeleo ya Tanzania

    Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
  5. Hili kanisa la arise and shine la mtume Mwamposa na makanisa ya aina hiyo Yana mchango gani katika maendeleo ya Tanzania?

    Naona kama viongozi wanajisogeza sana kwenye makanisa ya kitume baada ya haya tunayoyajua siku zote kuwa na msimamo Fulani ambao hauipendezi sana watawala. Nilikua naulizia tu hivi haya makanisa Yana mchango gani kwa maendeleo ya nchi? Siyo makanisa tu hata misikiti mnijibu wadau.
  6. Luaga Mpina asema, Hana Suluhu na yeyote hata maadui wake Hana nao Suluhu, anachotaka ni Maendeleo ya Tanzania tu

    Hii huenda ikawa ni Hotuba ya Kufungia mwezi ya MH MPINA !!. https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
  7. PreGE2025 Prof. Kitila: Ilani ya CCM ya 2025/30 ni Ilani ya Wananchi

    "Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi, CCM imeongozwa na Dira ya kuiona Tanzania yenye ustawi kwa wote, nchi inayozingatia na kuheshimu...
  8. S

    Lini CCM watatambua kuwa na upinzani imara nchini, Bungeni na katika serikali za mitaa, ndio chachu itakayoleta kasi ya maendeleo ya Tanzania?

    Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio chini ya chama tawala cha CCM. Hivi ni lini watarudiwa na akili na kutambua kwamba kuwa na upinzani...
  9. M

    SoC04 Mchango wa matumizi ya akili bandia kwa maendeleo ya Tanzania

    Akili bandia ni uwezo wa kompyuta au mashine kufikiri na kufanya maamuzi kama binadamu. Teknolojia hii inajumuisha uwezo wa programu za kompyuta kujifunza na kuboresha utendaji wao kwa muda. Akili bandia inategemea data na algoritms za kompyuta ili kufanya maamuzi kwa kutumia mantiki na...
  10. S

    SoC04 Mambo ya kuzingatia katika elimu

    Kwa kufikia Tanzania bora zaidi katika elimu ndani ya miaka 5 hadi 25, tunahitaji kuchukua hatua za maana. Tuanze na kuimarisha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Uwekezaji katika Elimu: Serikali na wadau wa elimu wanapaswa kuongeza bajeti ya elimu. Hii itasaidia kuboresha...
  11. Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  12. S

    SoC04 Namna ya kuepuka au kukomesha athari za Ukoloni Mamboleo (Neo-colonialism) katika kuhamasisha kuleta maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
  13. C

    SoC04 TRA Ibadilike Kutoka Kuwa Mamlaka ya Ukusanyaji Kodi na Kuwa Mamlaka ya Kukuza Maendeleo ya Tanzania

    Kodi ni Nini? Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha yanayowekwa na serikali kwa watu binafsi na biashara ili kufadhili matumizi ya umma na shughuli za serikali. Kodi hukusanywa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kodi ya mapato, kodi ya makampuni, kodi ya mauzo, kodi ya mali, na ushuru wa...
  14. D

    SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

    Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho. Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi. Kero kubwa ikiwa ni...
  15. T

    SoC04 Tumia nishati safi hasa gesi ili kutunza uhai wa viumbe hai, kukuza uchumi na maendeleo ya Tanzania

    Tanzania ina hazina ya futi za ujazo trilioni 57.25 za gesi asilia iliyo thibitishwa, kiasi ambacho ni kikubwa kubadili uchumi na kuleta maendeleo kwa taifa la Tanzania, sehemu kubwa ya hazina hiyo ipo katika kina kirefu cha bahari ya Hindi ambayo ni hazina ya futi trilioni 49.5. Pamoja na...
  16. P

    SoC04 Matumizi ya nishati safi kwa matumizi ya kupikia na viwandani kwa maendeleo ya Tanzania

    Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati chafu. Nishati isiyo safi ni aina ya nishati ambayo husababisha madhara ya kimazingira mara baada ya...
  17. F

    SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
  18. Z

    SoC04 Uboreshwaji wa maendeleo ya Tanzania miaka kumi ijayo

    Nchi yetu Tanzania ni moja ya nchi inayoendelea kwa sasa.ili kuhakikisha inafika katika hali ya juu zaidi kimaendeleo kuanzia mwaka 2024 mpka 2025 vitu vifuatavyo inabidi nifanyie Kuboresha viwanda na kilimo kwa jumla, hii itasaidia kuepukana na ukosekaji wa ajira kwa vijana na pia...
  19. Komredi Kawaida: Huwezi Kutenganisha Maendeleo ya Tanzania na CCM

    Kuna jambo ambalo yamkini watanzania wengi hawaelewi au wanapaswa kueleweshwa zaidi kuhusu maendeleo ya Tanzania na CCM, ikumbukwe tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania siku zote hatuwezi iacha CCM kamwe kwa maana Chama Cha Mapinduzu (CCM) kama Chama tawala ndicho kinachopanga nini kitafanyika...
  20. Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…