maendeleo aliyoleta rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi Arusha

    Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi. Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Arusha...
  2. S

    Rais Samia amekuza uchumi, viashiria vyote vya msingi vinambeba.

    Katika miaka minne ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imeonyesha kwa vitendo kwamba uchumi imara si nadharia tu, bali ni matokeo ya maamuzi thabiti, sera zenye mwelekeo, na usimamizi makini wa fedha za umma. Kupitia ushirikiano wake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu...
  3. ChoiceVariable

    PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika akisema ni kama miujiza maana kilichotakiwa kufanyika Kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom