Wakuu salaam,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita.
Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi...