madini tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

    Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza...
  2. The Zanzibar Echo

    Shughuli za uokoaji zinaendelea kuwaokoa watu 22 waliofukiwa kwenye mgodi wa madini Tanzania

    Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio hilo limetokea wakati mafundi wakiufanyia ukarabati mgodi huo na kwamba mpaka jana usiku watu watatu...
  3. TUKANA UONE

    Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  5. D

    Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc) Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
  6. wanchijiko

    Soko na bei ya madini ya amethyst Tanzania

    Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla, Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani? Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate...
Back
Top Bottom