Ndugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu.
Madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti.
Tumeona kwenye ukristo sasa mpaka wengine wanauza maji na udongo kwa kisingizio ni wakristo wakijiita dhehebu...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi.
TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu.
Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu.
Utekaji usio na...
Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi
Nimewadharau sana KKKT...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili.
Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
dhidi
gaza
haki
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kilokole
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
madhehebu
mfano
mkuu
nchini
uchaguzi
uchaguzi mkuu
wapalestina
Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi hapa ni faida za kuwa na madhehebu mengi ya Kikristo, katika nchi yoyote:
Madhehebu yanapokuwa...
Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee.
Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia.
Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara.
Tafiti za kweli na...
Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100.
Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu.
Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
Gazeti la mwanahalisi liliwahi kupatwa na misukosuko ya kufungiwa kama lilivyo kanisa la Rev Gwajima.
Kama mtakumbuka, Waandishi walewale wa mwanahalisi ambao walikuwa victims wa kufungiwa kwa gazeti la mwanahalisi walihamia gazeti la Mawio wakiwa na maudhui yaleyale.....na kibano kiliendelea...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
Habarini wanajamii..
Mimi ni mkristo wa moja ya madhebu ya kikristo, huwa napenda kuheshimu kila imani ya mtu, hata kama haamini vile namini. Kilichonifanya kuja hapa; ni mashambulizi ya kihasira ya mda mrefu ambayo madhehebu mengine yanafanya dhidi ya hili dhehebu la kakatoliki au RC kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.