madereva wa malori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane, la sivyo watagoma

    Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane. Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
  2. MamaSamia2025

    Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  3. Bird Watcher

    Madereva wa Mabasi wako Juu ya sheria za Barabarani?

    Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka hazina habari kabisa na uvunjifu wa sheria unaofanywa na mabus, Wao kila muda ni kuwahi tu wanaendesha...
  4. S

    Qatar imetoa nafasi 300 za madereva wa Tanzania wakapelekwa 75 wakashindwa interview. Serikali muwe mnatangaza hizo nafasi wapatikane watu sahihi

    Qatar imetoa nafasi 300 za madereva wa Tanzania kuajiriwa wakapelekwa 75 tu wakashindwa interview. Serikali muwe mnatangaza hizo nafasi wapatikane watu sahihi Mambo ya kupelekana kimya kimya sio mazuri ona sasa aibu nchi inapata.Tangazeni nafasi kuwa wanatakiwa madereva wa aina gani sio...
  5. M

    Madereva wa malori ni wasaliti sana na wengi wao hawawaridhishi wake zao. Sasa inabidi tuwasaidiye?

    Kutokana na kusafiri maeneo mengi na kuona vwanawake wengi hali hii imepelekea hawa watu kuwa malaya na wanahonga sana malaya wa njiani kuliko huduma nyumbani kwao. Hao watu kutowa hela za posho ya safari aweke malaya anayetembea naye kwenye gari kwao si jambo geni,wanafanya matumizi ya anasa...
  6. nzalendo

    Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  7. Waufukweni

    Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  8. ESCORT 1

    Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  9. nzalendo

    Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  10. Cute Wife

    Nini kifanyike kupunguza ajali za malori ya masafa marefu zinazosababishwa na uchovu mwingi kwa madereva?

    Wakuu salam, Ajali nyingi zinatokea zikihusisha malori kama umechunguza mara nyingi huwa ni sababu dereva alisinzia kutokana na uchovu mwingi wa kuendesha muda mrefu bila kupumzika au anakuwa ametumia vilevi, na mbaya zaidi anakuwa peke yake. Licha ya sheria kuwataka kuwa madereva wawili ili...
Back
Top Bottom