madam ritha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha Paulsen aomba radhi kwa kauli yake kuhusu vyombo vya habari

    Nipo upande wa Madam Ritha Paulsen Media za Bongo ni Uchwara Uchwara. ====================== Mdau wa burudani , Madam Ritha, ametumia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii kutoa ombi rasmi la radhi kufuatia kauli alizozitoa hivi karibuni ambazo zimeonekana kuleta taharuki na kukwaza baadhi ya...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha afichua bajeti ya kuandaa Bongo Star Search. Ni Milioni 700 mnaweza kuamini?

    Habari zenu wanajamvi. Lunch mmepata? Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha. Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji machachari, Salama Jabir alidokeza kuhusu gharama anazotumia kuandaa hicho TV kwa msimu mmoja. Ritha...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

    Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  5. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha wa BSS Kufilisiwa

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono, wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.4, vinginevyo mali za kampuni hiyo zitauzwa kwa mnada. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Meneja...
Back
Top Bottom