mabomu ya machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini matumizi ya mabomu ya machozi viwanjani yanataka kuhalalishwa? Mara ya pili mfululizo mechi za Simba yanapigwa

    Hivi ni kwamba Polisi wanataka kuhalalisha matumizi ya mabomu ya mchozi viwanjani? kwamba kulikuwa na tukio hatari la kushindwa kuwadhibiti mashabiki mpaka mtumie nguvu kiasi hicho hadi kupiga abomu kuwtawanya mashabiki ambao wamelipa pesa kwenda uwanjani kutazama mchezo? Haya mpaka lini? Ni...
  2. M

    Mabomu ya machozi yarindima kuwatawanya mashabiki Uwanja wa CCM Kirumba baada ya mchezo kuisha 1-1

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Pamba Jiji dhidi ya Simba SC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1. Baada ya mchezo kumalizika...
  3. Mabomu ya machozi yanapigwa muda huu uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mashabiki wanataka warudishiwe hela zao

    Mashabiki wanataka hela zao baada ya mechi ya TRA na Simba kuahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha huko Arusha. Askari wakaona njia pekee ya kutatua mgogoro huo wa mashabiki wameeanza kupiga mabomu na risasi za moto. Nchi hii kila kitu ni matumizi ya nguvu tu. Soma Pia: Mechi kati ya...
  4. W

    Mabomu ya machozi yapigwa wakati Bobi Wine akifanya kampeni Uganda

    Mkutano wa Mgombea Urais wa Uganda kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) uliokuwa ukifanyika eneo la Bbaale nchini humo umeshindwa kumalizika vyema baada ya askari wa Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya wafuasi...
  5. M

    Niwakumbushe mabomu ya machozi hayafanyi kazi kwenye mvua

    Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
  6. Polisi Wafyatua Risasi na Mabomu ya Machozi Kutuliza Waombolezaji Waliofurika kumuaga Odinga

    Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kwa sasa umefika katika uwanja wa michezo wa Kasarani kwa ajili ya kuagwa. Maafisa wa jeshi wamelazimika kufyatua risasi angani ili kuwatawanya waombolezaji abao waliingia ndani ya uwanja huo kabla mwili haujafika na kuujaza uwanja wote...
  7. Kwa mara ya Kwanza, usiku wa Jana, Watanzania wamezigomea Risasi baridi na Mabomu ya Machozi ,hawakukimbia Wala kutawanyika

    Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni. Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi. Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi zaidi walíendelea kupiga kelele na kupaza sauti !!. Huu ni Mwanzo mzuri sana Kwa sisi tunaochambua...
  8. GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  9. Polisi yatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Askofu Gwajima

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
  10. PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

    Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma. Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
  11. Wananchi Tunduma hawacheki na wowote, waandamana na kufunga barabara kushinikiza serikali kuondoa foleni, polisi yawatawanya kwa mabomu ya machozi

    Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
  12. PreGE2025 Askari watawanya Watu mkutano wa CHADEMA Songea, mabomu ya machozi yarushwa, Polisi wawabeba Heche na Lema

    Tumeshambuliwa na mabomu ya machozi ofisi yetu ya CHAMA SONGEA na ktk eneo ambalo tunapaswa kufanya mkutano leo. It is too Sad I can not even speak. Press Conference Soon. ongezea hii kwenye stori yako JOHN HECHE NA LEMA WACHUKULIWA KWA MAHOJIANO NA POLISI Mkurugenzi wa Mawasiliano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…