mabasi ya mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  2. Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  3. LATRA: Nauli ya Mabasi ya Mwendokasi Kubaki TSh. 750 Hadi watakapojiridhisha Changamoto zote za usafiri huo zimekwisha

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha. Baada ya hapo, nauli hiyo itapandishwa na kufikia shilingi 1,000. Kauli hiyo imetolewa na...
  4. Kamanda Muliro: Watatu wakamatwa kwa kuharibu Mabasi ya Mwendokasi, wengine wasakwa katika fujo Magomeni

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya fujo katika Vituo viwili vya Polisi ambavyo ni Kituo cha Polisi Magomeni Usalama na Kituo cha Polisi...
  5. W

    Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  6. Sijawahi kuona raia useless kama wanaoishi Kimara na viunga vyake na wanatumia mabasi ya mwendokasi kwenda vibaruani

    Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa roho ya “basi tuendelee tu.” Ni aibu. Hii siyo tena subira wala uvumilivu – ni upumbavu uliokomaa...
  7. Serikali mkitaka mabasi ya mwendokasi yadumu nyie fungeni SPEED GAVANA

    Barabara za mwendokasi ni nyembamba na zina kingo kubwa ni uzembe kwa serikali kuacha madereva wa mwendokasi wanaendesha zaidi ya speed 40! Chanzo kikubwa cha ajali mabasi ya mwendokasi kinatokana na mambo mawili 1. Speed kubwa- unakuta dereva anaendesha mpaka speed 80! hii ikitokeza shida...
  8. Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

    Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
  9. Msongamano wa Mabasi ya Mwendokasi Wazua Maswali, Je, Serikali Inachukua Hatua?

    ni aibu sana kwa serikali kushindwa kuleta mabasi hata ya dharura tu kwa ajili ya kuokoa hii hali iliyopo sasa! hivi kweli mtu anasubiria kituoni lisaa na nusu na bado anapanda kwa kugombania hadi milango inafunga kwa Taabu! kweli nimeamini hapa kuna jambo kubwa linaweza kutokea tena la KAFARA...
  10. Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  11. K

    KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  12. DART: Mwisho wa Tiketi za Karatasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni Juni 30, 2025

    YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU! Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia...
  13. Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
  14. Kuhusu kupata kadi ya mabasi ya mwendokasi

    Habari ndugu zangu, Jumapili nikijaaliwa nategemea kusafiri kwenda Dar. Naomba kujua utaratibu wa kupata kadi ya kupandia mabasi ya mwendo kasi. Inapatikana wapi? Nimezoea kwamba nikishuka kutoka kwenye boti napanda mwendo kasi moja kwa moja. Je, pale pia wanauza kadi hiyo?
  15. KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

    Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika. Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu. Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako...
  16. Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. Chanzo: Azam TV Pia soma: ~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
  17. Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  18. Mradi wa mabasi ya mwendokasi- umefeli

    MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi wa kawaida. Tunaposema Tanzania ni nchi ya wizi na rushwa, hatusemi kwa dhana tu—tuna ushahidi wa...
  19. Bakhresa Apewe Mradi wa Mabasi ya mwendokasi

    Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
  20. N

    KERO AC zilizopo kwenye mabasi ya Mwendokasi zimebakia kuwa mapambo? Hazifanyi kazi, abiria tunateseka na joto

    Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti. Kwa kipindi kirefu kidogo (wastani wa miezi sita) niliamua kujipa jukumu la kizalendo kufuatilia suala la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…