mabasi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia kuna tajiri wa mabasi Morogoro gari zake zinaoshewa nyumbani na wanavuna mchanga kutoka kwa abiria

    Hizi ni tetesi Nasikia kuna tajiri mwenye magari mengi hapa mjini Morogoro, na magari yake yote huoshwa na kusafishwa nyumbani kwake pekee. Inadaiwa kwamba mchanga unaobebwa na abiria kwenye viatu wanapoingia na kutoka kwenye mabasi yake hukusanywa na kuhifadhiwa kwenye viroba. Haijulikani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa umoja wa madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) watoa kero zao, waomba mazingira rafiki ya kazi

    Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
  4. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi jiungeni mtengeneze Kampuni Kubwa ya Mabasi Tanzania

    Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional). NB: uswahili umezidi
  5. JamiiForums Tanzania Viwanda vya kuunda mabasi vilazimishwe kuzalishia mabasi Tanzania

    1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya. 2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo kujenga "Assembly plant" nchini kuongeza ajira, Kodi na ukuzaji/urithishaji teknolojia/maarifa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ajifungua Akiwa Safarini Kwenye Basi Kampuni ya Katarama

    Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha. Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri. Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…