Wakuu,
Nimechoka kuona mabango ya CCM mtaaani.
Yaani kila sehemu ni mabango tu. Nimeenda pale Makumbusho mabango yako hadi kwenye magari
Halmshauri mko wapi? Mazingira kwa kweli ni mabovu na machafu maana kuna karatasi kila sehemu
CCM watafute namna ya kufanya kampeni zao bila sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.