maandiko ya biblia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Maandiko ya Biblia yametoka wapi ?

    1. Uumbaji kitabu cha mwanzo, Maandiko ya kitabu cha mwanzo kwa kiasi kikubwa yamefanana ya maandiko "Enuma Elish" ya Babylon ambayo yalitangulia kuwepo kabla ya maandiko ya agano la kale. 2. Gharika na safina ya Nuhu, Maandiko ya kale ya Mesopotamia, Epic of Gilgamesh ( utenzi wa Gilgamesh)...
  3. JamiiForums Tanzania Dikteta Sadaam Hussein alipojifanya anapingana na maandiko ya biblia na kilichomkuta

    ππ€ππˆπˆ πˆπ’π€π˜π€ π€π‹πˆπ“πŽπ€ π”ππ€ππˆπˆ πŠπ”π–π€ ππ€ππ„π‹πˆ π‡π€πˆπ“π€π‰π„ππ†π–π€ 𝐓𝐄𝐍𝐀. Alitoa unabii huu takribani mwaka 700 KK hadi 689 KK, yaani zaidi ya miaka 150 kabla Babeli haijaanguka. Akasema β€œBabeli... itakuwa kama Sodoma na Gomora... haitakaliwa kamwe kizazi baada ya kizazi.” (Isaya 13:19-20) 𝐌𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐀𝐞: si...
  4. JamiiForums Tanzania Zamani za Biblia za agano la kale walikuwa wanatumia calendar gani kabla ya calendar za Warumi?

    Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi? Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale? Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar ya miezi 12 au tofauti?
  5. JamiiForums Tanzania Sasa ni mwendo wa kutumia maandiko ya Biblia kupiga hela!

    Leo nimepita kituo cha mwendokasi cha mbezi mwisho! Hiki kituo kilikuwa na utitiri wa watu wanaojinasibu wanahubiri injili ilihali ni kutafuta hela kwa njia ya sadaka! Sasa leo nimekuta spika kubwa ya kiwete akitumia maandiko ya Biblia kuhalalisha kuchangiwa! (Matayo 25:40) Kitendo hicho bila...
  6. JamiiForums Tanzania Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  7. JamiiForums Tanzania Dondosha mstari wowote wa Biblia unaoupenda leo ni Ijumaa

    1 Tim 4:12 SUV Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. Lk 2:52 SUV Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. Efe 6:11-18 SUV Vaeni silaha zote za Mungu, mpate...
  8. JamiiForums Tanzania Pompeo: Israel Haifanyi Uvamizi kwa Wapalestina bali Inatekeleza Maandiko ya Biblia

    Habari Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia. Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa na wapenda Haki wote. ========...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…