maandiko matakatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ellen G. White wa kanisa la Wasabato ndiye Nabii wa mwisho duniani na hakuna Nabii mwingine baada yake

    Wadau tafadhali mjisomee biblia takatifu kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana mtakuta ushahidi kamili huko, muhimu ukiwa unasoma omba roho mtakatifu akuongoze. She's the last prophetess
  2. PLOII

    JamiiForums Tanzania Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapito ya Lissu na CHADEMA katika Lenzi ya Maandiko mtakatifu na harakati za kutafuta ukombozi

    Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje

    Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje Maandiko Katika Kitabu cha Luka Kitabu cha Luka 13:23-28, kinasema: 23 "Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Aya ipi katika maandiko matakatifu inaharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambale?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye ilimu mtupe elimu
  7. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
Back
Top Bottom