Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu
Ndoa ni nini
Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke.
Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko
1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje
Maandiko Katika Kitabu cha Luka
Kitabu cha Luka 13:23-28, kinasema: 23 "Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.