maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Polisi: Nyinyi ni wenzetu, kwenye Maandamano yetu tafadhali msigeuke Gestapo au Makaburu!

    Wanabodi, Kazi Kuu ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao, katika kutimiza jukumu hilo, pia wanawajibu wa kutuliza ghasia na kuhakikisha kunakuwepo amani na utulivu kwa ustawi wa taifa hili. Kwa vile tayari kuna viashiria vyote vya uwezekano wa kutokea vitendo vya fujo na uvunjifu wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano, lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Wandugu wanajamvi Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…