https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
hiki ndicho chama kinacho jiita kinajali wananchi wake kweli?
Mmeua mamia kwa maelfu lakini hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliye toa pole au hata tamko au aliye lifariji taifa wala hata kuongelea hivyo vifo
Sasa unajiuliza je? CCM hii ndiyo inayo jinadi kuwa na wananchi? Au wao...
Watu ndugu waliopoteza wapendwa wao wengine kwenye maadamano na wengine wakitoka kujitafutia kitu cha kuweka tumboni wamepigwa risasi mfano watoto wa Shangazi yangu 😭😭...
Dunia kote hakuna serikali inaweza kushinda Nguvu ya Umma huo ndo mkweli mchungu.
Mmepewa nafasi ya kujisahihisha nina imani mtaitumia vizuri mnaweza kubisha kwasababu ya kiburi cha madaraka ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.